Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta(katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati namba mbili(2) jana mjini Dodoma alipotembelea Kamati hiyo kujionea maendeleo katika uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Shamsi Vuai Nahodha na Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda .
Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya.(PICHA NA KAMATI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA(BMK).
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGII
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGII
No comments:
Post a Comment