Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata kwenye mabasi mawili hivi karibuni ambayo ilikuwa imewekwa kwenye mikate iliyokuwa imesafirishwa na watu wawili,ambao wamewekwa ndani.
DKT.BITEKO AWATAKA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA TANESCO KUWA MABALOZI WA KUTUMIA
NISHATI SAFI YA KUPIKIA
-
*Wanawake hao wamzawadia jiko la umeme Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa
Nishati
Na Mwandishi wetu.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment