Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 29, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE VIONGOZI WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA

uu1Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.uu2Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao  Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid

No comments:

Post a Comment