Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristian Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga mabao 16 katika msimu mmoja wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.Ronaldo amefikisha mabao baada ya kufunga bao la tatu kabla ya mapumziko katika mechi ya pili ya nusu fainali dhidi ya Bayern Munich.
Ronaldo alifunga bao hilo baada ya kazi nzuri ya Karim Benzema na Gareth Bale ambaye hakuwa mchoyo.Lakini baadaye dakika ya 89, Ronaldo akafunga bao la nne katika mechi hiyo baada ya yeye mwenyewe kuangushwa.Mwingine aliyekuwa na mabao mengi zaidi alikuwa ni Lionel Messi aliyekuwa amewahi kufunga 14.
MSIMAMO WA WAFUNGAJI BORA MSIMU HUU (2013-14)
# | Mchezaji | Nchi yake | Timu | Mabao(PenaltI) | |
---|---|---|---|---|---|
1. | Cristiano Ronaldo | Portugal | 16 (1) | ||
2. | Zlatan Ibrahimović | Sweden | 10 (1) | ||
3. | Lionel Messi | Argentina | 8 (2) | ||
4. | Diego Costa | Spain | 7 (0) | ||
5. | Kun Agüero | Argentina | 6 (2) | ||
Robert Lewandowski | Poland | 6 (1) | |||
7. | Álvaro Negredo | Spain | 5 (0) | ||
Gareth Bale | Wales | 5 (0) |
MSIMAMO WA WAFUNGAJI BORA MSIMU ULIOPITA (2012-13)
# | Mchezaji | Nchi | Timu | Mabao (Penalti) | |
---|---|---|---|---|---|
1. | Cristiano Ronaldo | Portugal | 12 (0) | ||
2. | Robert Lewandowski | Poland | 10 (1) | ||
3. | Lionel Messi | Argentina | 8 (0) | ||
Thomas Müller | Germany | 8 (1) | |||
Burak Yılmaz | Turkey | 8 (0) | |||
6. | Alan | Brazil | 5 (1) | ||
Karim Benzema | France | 5 (0) | |||
Jonas | Brazil | 5 (1) | |||
Ezequiel Lavezzi | Argentina | 5 (0) | |||
Oscar | Brazil | 5 (0) |
29 Apr 2014
No comments:
Post a Comment