Pages
▼
Sheikh Abubakar Sharif Makaburi apigwa risasi na kufa
Kiongoz wa
Waislam wa mrengo wa siasa kali anayeitwa Abubakari Sharif 'maarufu kama
MAKABURI ameuliwa kwa kupigwa risasi nchini Kenya.
Mpaka sasa hivi haijafahamika nani aliyempiga risasi na kusudio la kufanya hivyo ni kwa matakwa gani.SOURCE JF
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGIII
No comments:
Post a Comment