Basi la kampuni ya AM likiwa limepata hitilafu katikati ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. |
Gari la mafuta likivuka moja ya daraja ndani ya hifadhi hiyo. |
Eneo la mto ambalo linatajwa kuwa ni
manywesheo ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro ambapo
basi la kampuni ya AM lilipata hitilafu. BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI |
Kondakta wa basi la AM aliyefahamika kwa jina la Majogoro akichota maji kwenye mto kwa ajili ya kuweka kwenye rejeta baada ya injini kuchemsha. |
Basi lilikunywa maji ,madumu ya kutosha |
Wanyama mbalimbali ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. |
No comments:
Post a Comment