Vita ni vita, lakini vita ya simba na fisi inavutia sana, maana fisi zake ni kuvizia tu simba aue mnyama halafu yeye anaingia pale na wenzake wanafanya ushirikiano saccos, wee! simba atajuta, jionee mwenyewe mambo yalivyokuwa huko Chobe National Park baada ya simba kujiulia tembo mnyonge wakati wanpata msosi wao fisi wakalianzisha...! |
Simba wakipiga chabooo na kusoma ramani |
Huuuu huuuuuu simba na fisi wakitisha kwa mbwembweeeeee |
Vukeni mstarii hapa tuone kama nyie wajanjaaaaa |
Fisi wakiwa wamecharukaaaa sanaaaaaa kwa hasiraaaa |
na tabianchi blog
No comments:
Post a Comment