Vipo
vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata
wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa
ndani ya hifadhi, tabianchi blog
Sasa
watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba
kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya
ziwa ukisikia nenno kama 'kabili ng'wanza!' unaweza kuelewa.
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.Chanzo Tabia Nchi Blog
No comments:
Post a Comment