Pages

Sunday, April 27, 2014

TAZAMA PICHA JINSI ZANZIBAR WALIVYOSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO



 
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi na Viongozi wengine wakifuatilia sherehe za mkeshwa wa Muungano katika viwanja vya Maisara Zanzibar ikisherehekewa na burudani mbalimbali ukisubiriwa muda wa fashfash.
Wananchi waliofika katika viwanja vya maisara kusherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.wakipiga picha za kumbukumbu kupitia simu zaoza mikononi.
                   Wananchi wakifurahia fashfashi hizo katika viwanja vya maisara usiku wa jana.
                                     Mambo ya shamrashamra za miaka 50 ya Muungano.
Wasanii wa Kikundi cha Taarab cha Mafunzo wakiptowa burudani katika mkesha huo katika viwanja vya maisara Zenj
Wasanii wa Kikundi cha Taraab cha Mafunzowakilishambulia Jukwaa kwa wimbo Maalum wa Miaka 50 ya Muungano.



                                 Wasanii kutoka Donge wakivcheza ngoma ya Ndanda.
Msanii wa kikundi kutoka Kiboje akionesha ngoma ya Mabulo yenye asali yake Shinyanga  Tanzania.

              Wsanii wakicheza ngoma ya Benbati
                      Wasanii wakicheza ngoma ya Msewe.
Wanamuziki wa Bandi ya Jeshi la Polisi Zanzibar Wana mkunde Ngoma wakitowa burudani katika viwanja vya maisara kusubiri mkesha wa miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

No comments:

Post a Comment