Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 1, 2014

TAZAMA PICHA KUTOKA BUNGE LA KATIBA LEO JINSI ILIVYOKUWA


hamadMwenyekiti wa Kamati namba tano(5) ya Bunge Maalum la Katiba Hamad Rashid Mohamed (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. kilanggMwenyekiti wa Kamati namba kumi na moja(11) Anna Kilango akiongea na waandishi wa habari juu ya mambo yaliyojitokeza katika kikao cha Kamati hiyo wakati wanapitia rasimu ya Katiba mpya. kimiitMwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) ya Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. kmt 4 aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Salehe Nassoro Juma akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. kmt 10 mjadala 
Baadhi ya wajumbe wa  Bunge Maalum la Katiba ,Kamati namba nne (4) wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma cha kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba kwa ajili ya kuiboresha.
kmt nne 
Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba nne (4) ya Bunge Maalum la Katiba Dr. Sira Ubwa Maboya (kushoto) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. lowasa 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kushoto) akijadiliana na Mjumbe mwenzake Selemani Jafo leo mjini Dodoma mara baada ya kikao cha asubuhi cha Kamati namba kumi (10) cha kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya makindjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia)  akitoa mchango wake leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha Kamati namba mbili(2) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.  saleheMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Machano Othman Said  akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano unaofaa wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
selathiniMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Joseph Selethin akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano unaofaa wakati wa kikao cha Kamati namba tano (5) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya. waandishiMwenyekiti wa Kamati namba tano (5) Hamad Rashid Mohamed akiongea na waandishi wa habari juu ya mambo yaliyojitokeza katika kikao cha Kamati hiyo wakati wanapitia rasimu ya Katiba mpya. wajumbBaadhi ya wajumbe wa  Bunge Maalum la Katiba , Kamati namba tano (5)wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma cha kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba kwa ajili ya kuiboresha.
wajumbe na LowasaMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) akisamiliana na wajumbe wenzake leo mjini Dodoma mara baada ya kikao cha asubuhi cha Kamati namba kumi (10) cha kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
zendiMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zendi Mvano Abdallah  akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano unaofaa wakati wa kikao cha Kamati namba kumi (10) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.

No comments:

Post a Comment