TAZAMA VIDEO YA ALL STARS IN AFRICA AKIWEMO DIAMOND,AY,D-BANJ "Cocoa na Chocolate (Official Music Video) "
Ile video waliyorekodi wasanii 19
kutoka bara la Africa kwenye kampeni
ya kuhamasisha kilimo imetoka.
Angalia jinsi wasanii wengi kutoka
nchi za Africa walivyojumuika
pamoja kutengeneza video hii
wakiwemo A.Y na Diamond.
ITAZAME HAPO
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI
No comments:
Post a Comment