|
Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali walijitokeza na kusaidia zoezi la uokoaji kwa bahati mbaya wote walipatwa wakiwa wameshafariki
|
Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana wa jana wamefariki dunia..
|
Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo. |
Wasamaria wema wakienda kuuhifadhi mwili.
....Walio fariki imefahamika ni bwana Msagala, Jacob na Mwando wote ni wakazi wa Bunju....RIP
No comments:
Post a Comment