Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, April 26, 2014

UONGOZI MPYA WA KAZI MAN UNITED

 Benchi jipya la Ufundi la Manchester United kutoka kushoto Phil Neville, Nicky Butt, Paul Scholes na bosi wao, Ryan Giggs katika picha ya pamoja kabla ya mazoezi leo kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Norwich City kesho. Giggs ameteuliwa kuwa kaimu kocha mkuu wa United, baada ya kutimuliwa kwa David Moyes wiki hii kufuatia matokeo mabaya. Je, timu hii mpya ya benchi la Ufundi 


Phil Neville: Alijiunga na Man United mwaka 1992 na hadi anastaafu aliichezea mechi 386, akishinda mataji 10, la Kombe Ligi moja, Ligi Kuu sita na Kombe la FA matatu.
Nicky Butt: Alijiunga na Man United mwaka 1991 na hadi anastaafu aliichezea mechi 387 akishinda mataji 10, Kombe la Ligi moja, Ligi Kuu sita na Kombe la FA matatu.  

No comments:

Post a Comment