skip to main |
skip to sidebar
UONGOZI OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WAZUNGUMZA NA DKT. SHEIN IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja]Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya maafisa wa idara mbali mbali zaOfisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi,mwenyekiti wake akiwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.]Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment