Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 22, 2014

UZINDUZI WA JENGO LA OFISI YA TAKUKURU MKOANI MARA ULIOFANYIKA LEO MJINI MUSOMA



 
 MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU AKIINGIA KWENYE OFISI ZA MKOA WA MARA


 MKUU WA TAKUKURU AKISALIMIANA NA ERICK KIWIA AMBAYE NI MWENDESHA MASHITAKA WA TAKUKURU


 NI KUENDELEA KUSALIMIANA NA MAAFISAA WA TAKUKURU



 MKUU WA TAKUKURU MKOA WA MRA HOLLE MAKUNGU KUSHOTO AKIWA NA MKRUGENZI MKUU
 MAAFISA WA TAKUKURU WAKIFATILIA MAELEZO YA UFUNGUZI WA JENGO
 TUKO PAMOJA
 KLABU YA WATOTO WAPINGA RUSHWA KUTOKA SHULE YA MSINGI MUKENDO
 WAZEE WA KIMILA WAKIMVISHA MKURUGENZI MKUU VAZI LA JADI KAMA ISHARA YA UONGOZI
 NA MANENO YA HEKIMA ALIAMBIWA

 NI KAMA ANASEMA,NAWASHUKURUNI NTAENDELEA KUWATUMIKIA
 NAMI SIKUWA NYUMA BAADA YA SHAIRI MKONO WA SHUKRANI


 MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU EDWARD HOSEAH


 UFUNGUZI RASMI TAYARI

PICHA NA SHOMARY BINDA

No comments:

Post a Comment