Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, April 30, 2014

WAZIRI CHIKAWE,IGP MANGU WALA KIAPO KUTUMIKIA TUME YA UTUMISHI YA POLISI NA MAGEREZA

1Jaji wa Mahakama kuu Mhe.Njengafibili Mwaikugile akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu  katika ofisi za Mahakama kuu jijini Dar es Salaam wakati IGP alipokwenda kula kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza.Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mbarak Abdulwakil na kushoto ni  DCI Issaya Mngulu (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)f2Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)3Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe baada ya kula kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele yake jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw. Benedict Mwingiwa na IGP Ernest Mangu(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
4Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)5Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)6Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame  akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)7Kamishna wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment