Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, May 4, 2014

BABA WA MBUNGE MAARUFU WA CCM MHE FILLKUNJOMBE AFARIKI AKIWA KWENYE NDEGE TAARIFA KAMILI HII HAPA

Mzee Florian Filikunjombe (78), baba wa Mbunge maarufu mtata wa CCM jimbo la Ludewa amefariki Dunia akiwa ndani ya Ndege akitokea Dubai alikokuwa amekwenda kwa matibabu ya ugonjwa wa Kansa. Alitazamamiwa kuzikwa leo huko kwao Ludewa.


No comments:

Post a Comment