Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 24, 2014

BASI LA MAJINJAH LAACHA NJIA NA KUTUMBUKIA KORONGONI MAFINGA MKOANI IRINGA

 Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na basi la MAJINJAH SPECIAL  ambalo hufanya safari zake kati ya mikoa ya Dar es salaam na Mbeya wamenususrika kufa baada ya basi lao  kuacha njia na kwenda kutumbukia katika korongo mjini Iringa maeneo ya Mafinga leo asubuhi  lilipokuwa likikitokea mjini Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam . 

Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo na chanzo chake ni kufeli kwa breki katika basi hilo.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo na basi lilitolewa na kuendelea na safari yake ya Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment