Pages

Wednesday, May 7, 2014

BREAKING NEWSSSS:::BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI KATIKATI YA MBUGA YA MIKUMI NA KUJERUHI ABIRIA KADHAA


Abiria wakiwa hawajui la kufanya baada ya ajali hiyo.
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.

BASI LA KAMPUNI YA PRINCESS MURO LIMEPATA AJALI NA KUPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI ABIRIA KADHAA WAMEJERUHIWA.

HABARI KAMILI ITAKUJIA ENDELEA KUWA NASI

No comments:

Post a Comment