Pages

Monday, May 12, 2014

DIAMOND PLATINUM AWAOMBA MASHABIKI NA RADIO KUTOPIGA WIMBO WAKE MPYA KWANI BADO HAJAUTOA RASMI

Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond “Kitorondo” ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli yake


Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa.. Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….” hayo aliyasema Diamond kupitia Mitandao yake.

No comments:

Post a Comment