DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA KWENYE NOMINATIONS ZA KORA JIONEE HAPA
Pamoja
na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz
ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo
limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo
hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo
No comments:
Post a Comment