Pages

Thursday, May 22, 2014

DK SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI MSECHU

IMG_1399Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1409 (1)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar ,baada ya mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1422 (1)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar ,baada ya mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment