Pages

Tuesday, May 13, 2014

DKT. SHEIN AONGOZA UFUNGAJI WA MAFUNZO YA MAAFISA KMKM LEO

IMG_9890 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu KMKM alipowasili katika kambi ya KMKM Kama katika ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) leo,(katikti) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9908 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya hesha ya gwaride la Maafisa wakati ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9925 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Maalum wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9979 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwatunuku  Kamisheni Maafisa Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya awali katika kambi ya KmKm kama leo,alipoyafunga mafunzo hayo katika mkupuo wa saba (7) wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9878 
Makamanda wa KmKm waliohudhuria katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
IMG_9880 
Baadhi ya wananchi walioalikwa katika hafla ya sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama  Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment