FILAMU MPYA YA ZENA NA BETINA KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI
Zena na Betina ni Filamu mpya kutoka kampuni ya nisha film production filamu hiyo ambayo imesimamiwa vilivyo na kwa uhodari mkubwa na kamera man ajulikanaye kwa jina la Kabuti Onyango.Filamu hiyo ambayo ambayo imeigizwa na waigizaji maarufu kama Nisha,Senga na Hanifa Daudi ina maudhui ya vichekeshoake na elimu ndani
No comments:
Post a Comment