Kwa wewe ambaye utakuwa mbali na TV yako tunakuletea moja kwa moja usiku wa tuzo katika simu au kompyuta yako. Fuatilia kupitia www.kililager.com/KTMA
/ http://www.dj-sek.blogspot.com/2014/05/fuatilia-hapa-liveeee-tuzo-za.html#.U2UKVqKjL64 kuanzia saa moja jioni wakati Jokate na Millard Ayo wakiwahoji mastaa
wanaoingia katika Red Carpet na baadae ikifuatiwa na mahojiano na wale
washindi pia zoezi zima la utoaji tuzo.
PIA KWA WENYE SMART PHONES TUMIA LINK HIZO HAPO
Bofya moja ya yafuatayo kuenda kwenye App store ya simu yako
iPhone - http://bit.ly/1i4FND6
Android - http://bit.ly/1lKMdbJ
BlackBerry - http://bit.ly/1moEFhQ
Download na Kuinstall MyeventApp kisha ubofye Kilimanjaro Tanzania Music Award 2014
#KTMA2014
No comments:
Post a Comment