HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME
Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka
OKC’ katika jijini la Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The
Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na
msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love
Queen
No comments:
Post a Comment