Marehemu
Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake.
Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es salaam
Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi
MHE. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA BOTSWANA JIJINI GABORONE
-
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini
mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda, amekutana na Waziri wa Nchi
Ofisi ya ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment