Pages

Tuesday, May 13, 2014

KATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UYUI MKOANI TABORA

1Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Stephen Nyanda Mhandisi wa ujenzi Wilaya ya Uyui  wakati alipokuwa akikagua nyumba za watumishi zilizojengwa na Halmashauri ya wilaya ya hiyo zilizopo Kata ya Isikizya mkoani Tabora katika muendelezo wa ziara yake ya siku kumi mkoani humo kukagua uteelezaji wa miradi ya inayotekelezwa na serikali kwa upande mwingine na wananchi, Katika zaiara hiyo Kinana anaongozana na Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na leo wanaendelea na ziara hiyo wilaya ya Uyuinyekiti wa CCM wilaya ya Uyui, Kushoto ni Mussa Ntimizi Mwe. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UYUI-TABORA)3Hizi ndiyo nyumba  zenyewe zinavyoonekana
4Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa jengo la Hospitali ya Wilaya ya Uyui lnalojengwa huko Isikizya Uyui mkoani Tabora, anayefuatana naye ni Stephen Nyanda Mhandizi wa ujenzi wilaya ya Uyui.

 
5Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuhudia mafunzi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa jengo hilo.6Ujenzi ukiendelea7Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui.8Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mhandisi wa wilaya Bw. Stephen Nyanda wakati akikagua jengo la Polisi wilaya ya Uyui.9Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua chanzo cha maji Isikizya.10Baadhi waandishi wahabari  wanaofuatana na Katibu Mkuu Abulrahman Kinana wakihangaika kunasa matukio katika ziara hiyo.11Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Meneja wa shirika la Nyumba mkoani Tabora Bw.Elasto Chilambo wakati alipokagua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na shirika hilo wilayani Uyui mkoani Tabora.12Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata taarifa ya ujenzi wa nyumba hizo kutoka kwa Meneja wa NHC Tabora Bw. Elasto Chilambo.13Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi Fatma Mwassa akielezea jambo kwa waandishi wa habari kuhusu miradi hiyo.14aKatib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa meneja wa NHC mkoa wa Tabora Bw. Elasto Chilambo kuhusu mradi huo wa nyumba, katikati ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi. Fatma Mwassa Mkuu wa Wilaya ya Uyui Lucy Mayenga na kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.16Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. akimsikiliza Mkuuu wa wilaya ya Uyui Bi. Lucy Mayenga wakati wa ziara ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wilayani humo.

No comments:

Post a Comment