MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika Gesti ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Wataalam wajadili namna salama ya kukabili hali ya hewa, mabadiliko ya
Tabianchi
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
WATAALAM wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi
wamekutana jijini Arusha katika kongamano la siku mo...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment