Pages

Monday, May 5, 2014

KUITWA KAZINI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI MAJINA HAYA HAPA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Simu: +255-22-2112035/40 S.L.P. 9223
Nukushi: +255-2122617/2120486
Dar es Salaam
Barua pepe: ps@moha.go.tz


KUITWA KWENYE AJIRA
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao waliofanya
usaili kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji, kuanzia tarehe
25/03/2014 hadi tarehe 29/03/2014, kuwa wamechaguliwa kuajiriwa.


Zimamoto Na Uokoaji - TANGAZO

No comments:

Post a Comment