Pages

Sunday, May 4, 2014

LORI LAZIBA BARABARA MIKUMI NA KUKALISHA WATU ZAIDI YA MASAA MANNE JIONEE HAPA

 Shughuli ya kuliondoa Lori hilo barabarani ikiwa inaendelea ili kupisha watu wapate kupita
 Baadhi ya watu wakiwa wametoka katika vyombo vyao vya usafiri wakingoja Lori liondolewe ili waendelee na safari

 Hivi sasa Mabasi na magari mbalimbali sasa yanaendelea na safari kama kawaida
 Picha na Morogoro yetu Blog

No comments:

Post a Comment