Hiyo ni nyumba ya pili ya rapper huyo wa Tip Top Connection baada ya ile ya Kibaha aliyojenga kwa mama yake.
Akiongea leo na 255 ya XXL, Clouds FM, Madee amesema ni ngumu kupata hesabu kamili ya gharama alizotumia kujenga nyumba yake ya Kimara lakini amesema ina hadhi ya jina lake.
Madee amesema hesabu za haraka zinaonesha kuwa nyumba zote mbili zimegharimu takriban shilingi milioni 150.
No comments:
Post a Comment