DJ Mafuvu, Joh Makini na Ben Pol katika jukwaa la Kili Music Tour Moshi kwa ajili ya sound check.
Eneo la uwanja wa ushirika likiwa tayari kabisa kupokea umati wa mashabiki watakaopewa show ya nguvu toka kwa wasaniii wakaliiiiiii
Hiiii ndio List ya wasaniii watakaopiga show ya kufa mtu leo ndani ya mji wa moshi
KISIWA CHA SAANANE CHAADHIMISHA 'BIRTHDAY' MIAKA 10 YA SIMBA
-
Simba wa Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Saanane akijiandaa kula keki maalum
Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya...
2 hours ago



No comments:
Post a Comment