PG4A9685
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu  zao la Zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9725
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma.
PG4A9819
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na ujumbe  wa Kampuni ya  British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma .Kulia kwake ni  Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).