Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya
Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo
pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na manispaa hiyo,wakati wa
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Fatma Salum.
Mchambuzi wa Mifumo ya Komputa Bw. Jackson Kiema
akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) mashine ya kielektroniki
inayotumika katika ukusanyaji wa mapato na kuhifadhi taarifa za mapato, wakati
wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini
Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Bw. Sebastian Mhowera. (PICHA
NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment