Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 7, 2014

MSANII KEYSHA HATIMAYE AMEJIFUNGUA MTOTO WA PILI AMBAYE NI WAKIUME, TAZAMA PICHA ZA MTOTO HUYO NA MAMA YAKE

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.
Chanzo Bongo5



No comments:

Post a Comment