Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 16, 2014

MWIMBAJI MAARUFU AMINA NGALUMA AFARIKI DUNIA

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake.
MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Amina katika pozi enzi za uhai wake.

No comments:

Post a Comment