MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
VIJANA WAASWA KUTAFUTA FURSA KWENYE KILIMO CHA KIENYEJI
-
Na Linda Akyoo -Moshi
Katika juhudi za kukuza kilimo cha kienyeji na endelevu,Taasisi ya Vijana
Yenye Uwezo (TYC) iliandaa tukio la utoaji mafunzo kwa vija...
37 minutes ago
No comments:
Post a Comment