NANI NI MKALI WA KUSHANGILIA MAGOLI KATI YA PAOLO DI CANIO NA JOSE MOURINHO?
Paolo
Di Canio alikuwa anashangilia bao mwaka jana kwa staili ya kuteleza
wakati Sunderland ilipoifunga Newcastle mabao 3-0 katika mchezo wa ligi
kuu nchini England
Jose
Mourinho mwaka 2012 akiwa na Real Madrid baada ya kuifunga Manchester
City Bernabeu UEFA alishangilia kwa staili ya kuteleza kama wachezaji
wanavyofanya.
No comments:
Post a Comment