NEWSSS:::BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI
Ajali
imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni
kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi
wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado
kama kuna aliyekufa.
No comments:
Post a Comment