Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 20, 2014

PICHA ZA MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA ADAM KUAMBIANA KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.
Waombolezaji watakaa mahali hapa.
Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment