Pages

Sunday, May 18, 2014

PICHA ZA SHOW YA DIAMOND NA OMMY NDANI YA BONGOUK/CLUB MALIBU UK MAMBO YALIKUWA HIVI

Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi 
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,

No comments:

Post a Comment