Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 14, 2014

PICHA::DAKTARI ALIYEFARIKI KWA UGONJWA WA DENGUE AAGWA LEO

Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Daktari Gilbert Buberwa wa Hospitali ya Temeke kwa ajili ya kuagwa. Daktari huyo, aliyefariki kwa kuugua homa ya dengue, anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na Rafael Lubava

No comments:

Post a Comment