Hizo ni baadhi ya picha za kikao cha pamoja cha mashauriano baina ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, na Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Hassan Nassor Moyo akiwa na Mansoor Yussuf Himid, Mohamed Ahmed Al-Mugheiry (Eddy Riyami), Salim Bimani na Ismail Jussa. Mjumbe mwengine Mhe. Abubakar Khamis hakuweza kuhudhuria kutokana na dharura. Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014 nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akuzungumza na Rais Kitengo cha Usawa wa
Jinsia kutoka Taasisi ya Gates
-
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais Kitengo cha
Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates Dkt. Anita Zaidi Jijini Dar es
Salaam.
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment