Hii inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambayo anadai aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba.
No comments:
Post a Comment