Ikumbukwe tarehe 26 may 1996, Nchi ya Tanzania ilipata pigo baada ya kufatiwa na tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba, ambapo tukio hilo lilisababisha kupotea kwa maisha ya watanzania wengi sana, mungu azilaze roho zaarehemu hao mahali pema peponi amin.
CBE yaja na mtaala kufundisha PhD ya infomatiki za biashara
-
Na Mwandishi Wetu
CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kuanzisha program ya Shahada
ya Uzamivu (PhD) katika Infomatiki ya Biashara ili kuleta ma...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment