Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 22, 2014

TAARIFA YA MSIBA KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA CHUO CHA UHASIBU KOZI YA ADIT MWAKA 2011,GWAMAKA MWAMAKULA AFARIKI DUNIA

Gwamaka Mwamakula Muhitimu Kutoka Wa Mwaka 2011 Kozi ya ADIT Chuo cha Uhasibu Arusha Amefariki katika Ajali ya Gari.MarehemuAlikuwa Kikazi Mkoani Manyara Wakati akiwa njiani Kurudi Nyumbani Ndipo alipogongwa na Gari aina ya Fuso na Kufariki hapohapo.Mazishi yatafanyika Dar.Taratibu za Kusafirisha Mwili Zinaendelea  kwa taarifa zaidi Tutaendelea kuwaletea kinachojiri na Ratiba ya Mazishi.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi Amen

No comments:

Post a Comment