Pages

Sunday, May 18, 2014

TAZAMA PICHA JINSI ARSENAL WALIVYOPOKELEWA BAADA YA KUCHUKUA KIKOMBE


Mama mpenzi wa Arsenal akipata ukodak
Basi lilichukuwa wachezaji wa Arsenal na kombe lao mitaani mambo yalikuwa hivi katika jiji la London.
Wachezaji wa Arsenal wakipata ukodak na kombe lao
Kocha wa Arsenal kasema bado yupo yupo saana tu
Mertesacker mchezaji wa Arsenal 

No comments:

Post a Comment