Pages

Saturday, May 10, 2014

TAZAMA PICHA KIJANA AKUTWA AMEJERUHIWA VIBAYA KIMARA JIJINI DAR



Kijana alivyokutwa eneo la Kimara-Mwisho akiwa amejeruhiwa vibaya.

Akipelekwa kwenye gari la polisi.
.Akiwa kwenye gari la polisi kupelekwa hospitali. 
KIJANA ambaye hakufahamika jina lake mara moja alikutwa ametupwa maeneo ya Kimara-Mwisho, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita huku akiwa na majeraha yakutisha.
 Haikufahamika mara moja kuwa mtu huyo alipigwa au alitupwa eneo hilo na nani. Polisi walifika eneo la tukio na kumpeleka hospitali akiwa na hali mbaya.
(Picha na GPL)

No comments:

Post a Comment