Pages

Wednesday, May 14, 2014

TAZAMA PICHA ZA MSANII BLACK RHYNO NA MKEWE NA MTOTO WAO

Black Rhyno anaweza kuwa ndiye rapper wa Tanzania mwenye mke mrembo kuliko wote… Mke wake anaitwa Beatrice Mmbaga Haule. Wawili hao wamebariki kupata mtoto wa kike aitwaye Rishona Cherisse. Tazama picha zao hapa.

Black Rhyno, mkewe Beatrice na mtoto wao Rishona wakiwa kwenye studio za Clouds FM

Beatrice na Rishona
 Chanzo Bongo 5


No comments:

Post a Comment